Ni Kweli Babake Kanumba Anamchukia Lulu Michael?!? Ukweli Umebainishwa!!

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Tarehe 7 mwezi huu Lulu Michael alikuwa mwenye furaha wakati alipokuwa akisherehekea kuzaliwa kwa mama Kanumba. Ilikuwa furaha kuu huku akiweka picha zake na za mamake Kanumba kwa Instagram

Lakini je, babake marehemu Kanumba ana yepi kuhusu haya yote, je anamchukia shetani mwenyewe Lulu Michael?

Kwa mitandao kumekuwa na mijadala na tetesi kuwa babake Kanumba anamchukia Lulu lakini chanzo kinachoaminika kiliweza kubainisha kati ya mbivu na mbichi.

Alipoulizwa, baba Kanumba alikuwa na haya ya kusema:
‘Mimi Lulu sijamchukia… tangu zamani wananiuliza nasema sina ugomvi na Lulu kwa sababu walikua watu wawili, walikua wapenzi wawili….. hatuwezi kuingilia watu walikua chumbani utajuaje nani kamuanza mwenzake? alafu wakiniingiza mimi kwamba namchukia Lulu.. hata siku moja sijawahi kumzungumzia, hao watu walipakazia na ni waongo…. siwezi kumchukia Lulu wala kumjadili’

Kwa hayo maneno inadhihirisha kuwa hakuna ugomvi wowote kati ya wawili hao.


Chanzo BABA KANUMBA AFUNGUKA, NI KWELI ANAMCHUKIA LULU MICHAEL?!?- bkuHABARI
 
Mi nisingeelewaaa kama Kanumba angekua mtoto wangu, Lulu angejua ni kwa nin kuku hua hakojoiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…