Ni miongoni mwa biashara zinazolipa hapa mjini nimewahi ulizia wengi hawatoi taarifa ila mmoja aliwahi niambia pale Tegeta
zile wanazouza elfu ishirini(20000) hujumua kwa elfu kumi na mbili Smart laki moja je ni kweli?
ninaomba aliye mzoefu kwa hii fursa TUJUZANE