Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Unaijuwa biharamulo?
Biharamulo ni wilaya mojawapo inayopatikana mkoa wa Kagera.
Kwakweli Biharamulo imejaaliwa sana, wilaya nzima ni kijani Imezungukwa na misitu!
Kimisi, Burigi, Kasindaga n.k, huko nimefika, nimeona wanyama wengi, miti, ndege na mapango ya kustaajabisha!
Lakini juzi katika pitapita zangu nikapata stori kwamba pale Biharamulo kuna handaki kubwa (trench) linalopita chini kwa chini from B.mulo town to Lusahunga! Ni kati ya KM 35-40[emoji848][emoji848].
je, ni kweli handaki hilo lipo? lilipatikana patikanaje[emoji848][emoji848]?