Ni kweli bora kuwa Guest kuliko Member?

Ni kweli bora kuwa Guest kuliko Member?

Arakei

New Member
Joined
May 5, 2022
Posts
4
Reaction score
4
Hodii!

Id ni Arakei, nmejikita kwenye Graphics, i.e Graphics Design, Digital Art Painting, Photo Manipulation , Photo Restoration na mambo ka izo...

Napenda andika , ziwe idea, maoni, stories nk. Nadhani napenda andika kuliko kuongea. Wengine wanaziita aibu. Nadhani ni introvert.

Napenda kusoma vitabu. (YA Fiction, all sorts of Non Fiction. Kitabu pendwa so far: Anything You Want, Derek Sivers)

Napenda mziki. (Future Bass, Future Pop, Reggaeton na Afro Pop)

Napenda movies (All time Favourite: The Shawshank Redemption)

Nafanya gaming nikiwa sina vya kufanya (Favourite Game : Uncharted Four, A Thief's End)

Napenda ujasiriamali online na offline, nimejiajiri.

Najipenda pia.

Sijui sjaandika nini kingine au ndo nimeandika mengi.🤔

Nimekuwa guest user kwa takribani miaka 2.5 ivi so nimeona sio mbaya nami nikijumuika kama member.

Ila, ninakutwa na utata kidogo; Ni kweli, bora kuwa guest user kuliko member?

.
 
Mkuu wengine hata tulikua busy kukimbia vipindi vya debate. Cha kukuambia tu ni KARIBU mgeni
 
Hodii!

Id ni Arakei, nmejikita kwenye Graphics, i.e Graphics Design, Digital Art Painting, Photo Manipulation , Photo Restoration na mambo ka izo...

Napenda andika , ziwe idea, maoni, stories nk. Nadhani napenda andika kuliko kuongea. Wengine wanaziita aibu. Nadhani ni introvert.

Napenda kusoma vitabu. (YA Fiction, all sorts of Non Fiction. Kitabu pendwa so far: Anything You Want, Derek Sivers)

Napenda mziki. (Future Bass, Future Pop, Reggaeton na Afro Pop)

Napenda movies (All time Favourite: The Shawshank Redemption)

Nafanya gaming nikiwa sina vya kufanya (Favourite Game : Uncharted Four, A Thief's End)

Napenda ujasiriamali online na offline, nimejiajiri.

Najipenda pia.

Sijui sjaandika nini kingine au ndo nimeandika mengi.🤔

Nimekuwa guest user kwa takribani miaka 2.5 ivi so nimeona sio mbaya nami nikijumuika kama member.

Ila, ninakutwa na utata kidogo; Ni kweli, bora kuwa guest user kuliko member?

.

Karibu sana jf, ila hilo swali lako nadhani bora usubiri ili upate majibu kutokana na experience utakayokutana nayo wewe mwenyewe kwani uzuri wa ngoma uingie na ucheze mwenyewe, kuingia jf ni sawa na kuingia ngomani, utacheza tu.🤣
 
Hah saawa, asante
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Back
Top Bottom