Wazalendo wapo na wanajulikana ikiwemo hawa wa sasa. Mbowe alianza vizuri sana tena akiwa na malengo mazuri. Lakin baada ya kesi ile alibadilikaFor more than 30yrs na wanachadema hawakumshtukia ....
Sasa nna mashaka juu ya uwezo wa wanachadema wote wa kujua kiongozi mzarendo na asiye mzarendo as wengi Sana walimpambania hata wengine kufa kwajir yake kumbe wanampambania mamluki wa CCM.
Ilikua CCM B
Mbowe alijifanya mwanachadema mchana ilifika usiku anapanda ungo mmoja na kina Samia
Mbona Lissu aligusia vizuri aliposema ataimarisha mifumo ya kifedha ikae kitaasisi?For more than 30yrs na wanachadema hawakumshtukia ....
Sasa nna mashaka juu ya uwezo wa wanachadema wote wa kujua kiongozi mzarendo na asiye mzarendo as wengi Sana walimpambania hata wengine kufa kwajir yake kumbe wanampambania mamluki wa CCM.
Ila naona mwamba aliharibikia ukubwani,inasikitisha sanaIlikua CCM B
Mbowe alijifanya mwanachadema mchana ilifika usiku anapanda ungo mmoja na kina Samia
Mwita Waitara: Chadema ni mali binafsi ya Mbowe na Halima Mdee
Kweli hapa Mama alikuwa kazini kweli aisee ,hadi kitu zima likekubali kuwa chawa la Mama 🫢Ila naona mwamba aliharibikia ukubwani,inasikitisha sana
Mr. Born Town....wapi Yoga?!!!Mimi Mbowe nilimstukia baada ya kumpokea Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais, baadae akamleta Nyalandu! Toka ampokee Lowassa sikuwahi kubadilika kuwa Mbowe hastahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm. Wafuasi wengi wa cdm hawakuwa wananielewa, lakini baada ya kushindwa uenyekiti muda umeongea.
Hata uwepo wa covid19 bungeni Mbowe anajua na ni mfaidika wa hilo.
Fundi mchundo
Duka la Mangi limefungwa 🐼Naanza kuamini ila kwa mbaaaliiiii
....