Ni kweli CHADEMA ilikuwa Sacos na mali ya Mbowe?

Hapo Kuna ukweli 90%, uliona wapi wanachama wanaondoka kwenye chama kisa uongozi umebadilika? Hilo jambo linatafakarisha Sana....
 
Hasa kitendo chake Cha kukaa kimya, hivi Leo ccm ishambuliwe hadharani wastaafu kama kikwete wakae kimya? Hapana hili halijakaa sawa kwa mbowe
 
Hapo Kuna ukweli 90%, uliona wapi wanachama wanaondoka kwenye chama kisa uongozi umebadilika? Hilo jambo linatafakarisha Sana....
Kila mmoja anasema ametukanwa sana. Juzi namuona bibi mmoja somebody Kiwelu, eti na yeye anasema ametukanwa sana, matusi yako wapi, hakuna ushahidi!
 
 
Ila naona mwamba aliharibikia ukubwani,inasikitisha sana
Kesi ilianzia hapa

Mbowe kwa ile kesi ya ugaidi, ilimpasa akubaliane na masharti yote ya ccm na hichohicho ndicho kinatafutwa kwa Lissu, Je itawezekana?
 
Na uadui wa Chadema ya Mbowe na Magufuli ulikuwa ni kuzuia fungu hilo la pesa,
Uzi huu auone Mshana Jr
Magufuli alizuia kwa sababu aliona ni uchafuzi wa pesa bure maana alijua kuwa chadema lilikuwa ni tawi la ccm.
 
Uzi mwingine huu ukimtupia mawe Mbowe.

Naona leo umeamua kuvimba nae.

Retired Fundi Mchundo Lusungo
 
Swali gani..Unauliza uhalisia jamaa alikuwa anafanya biashara.
 
Jamaa Quinine Leo umekuwa disappointed sana. Mwezi Desemba Mwaka jana ulikuwa timu Lissu, then ghafla ukarudi Kwa Mbowe, ukasikitika sana Mbowe kushindwa Uchaguzi lakini now umerudi kuwa Mbowe anakiharibu Chama

Hakuna ushahidi wa wazi wa tuhuma zote zinazowekwa dhidi ya Mbowe lakini mazingira na kukaa kwake kimya kunafanya watu waone anafurahia yanayoendelea na hivyo anakisaliti Chama chake.
 
EVIDENCE, CONCRETE EVIDENCE, NOT REVELATIONS!
Mi nafikiri hata kungekua na evidence bado hakuna sababu ya wao kukesha na Mbowe… chama ni chao wapambane na hali Yao!! Shida ni kuwa walipandikiza sana maneno maneno!! Walijijenga sana kwa fitina fitina Leo wamepata walichohitaji wanaacha kupambana kutekeleza walichokua wakiimba wanapambana na vitu ambavyo havitawasaidia…. Wanatia huruma sana!!
 
Uwezo wa watz wengi kufikiri ni 0%
Yani mbowe aliyejitoa mhanga koswakoswa za kuuawa,kufungwa nk Léo HII wewe ngumbaru std seven failure unamtukana? Alipokuwa akifanya harakati si mlikuw mnampuuza Sasa amekaa pembeni Bado mnamtukana, Bangladesh
 
Si mlisema yéyé ñdio kikwazp chadema? Sasa Kakaa kimya kwahiyo Bado tena mnawashwa NAE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…