Kwani magamba wao wanfadhiliwa na nani?
How comes this issue is crap King2? Hayo yamenenwa na mbunge wa Mtera ktk harakati zake za kuizodoa CHADEMA, ni vema tuwe wakweli ktk hili. Naona kama huyu jamaa kapitiliza na kaleta uzushi suio kuwa na kifani ambao pia ni hatari hata kwa Taifa letu. Kwangu haileti mantiki kwa nchi kama Ujerumani kuifadhili CHADEMA ili ichochee vurugu kwenye nchi kama yetu. Kwa minajiri ipi na ifaidike nini kukitokea vurugu Tanzania? Kwangu huu ni uzushi ambao sitaki kukubali, labda utolewe uthibitisho, vinginevyo Mh. Lusinde ameleta upotoshaji wa makusudi!Crap ! Mods toa upupu huu.
tafadhali soma na uelewe alichoandika mleta mada kwanza ndio uhukumucrap ! Mods toa upupu huu.
We subiri tu utaona sasa hivi atafuta kauli yake na kuomba msamaha. Ngoja wajerumani waipate official uone atavyoogopa huyo magamba anyebwabwaja bila breki.
Mfa maji haishi kutapatapa! CCm kwisheni
Ni kweli hata mimi nimeona na kusikia kubwabwaja kwa mbunge huyo. Masikitiko yangu ni namna Spika Makinda atakavyofukia suala hili bila kumbana mbunge huyo kuthibitisha kauli zake kwa lengo la kulindana. Hakika angekuwa Mbunge wa CHADEMA amesema hivyo dhidi ya CCM ungeona spika huyo kushupalia kuwa ni kutarisha mahusiano ya nchi na hivyo mbunge afute au athibitishe kauli yake. Kweli nchi yetu inaenda kubaya chini ya utawala wa CCM. Katiba mpya ndio suruhisho la wanyonge.Hivi kwa suala kama hili tutegemee nini kutoka kwa vyombo vyetu vya usalama??
Hivi kweli huyo Lusinde atawekwa kitimoto ili aelezee kwa undani hayo madai yake ikibidi atoe vidhibitisho??
CHADEMA hapa inabidi wachukue hatua gani?? kwani sidhani taarifa kama hizi wanapaswa kuziacha zipite tu na kwa vile ni chama makini najua watachukua hatua!
Hivi huyo spika wa bunge Kihiyo alizitolea tamko gani hizo taarifa?? mi sikuwa nikifatilia bunge tafadhari!