Chungu_tamu
Member
- Dec 16, 2010
- 22
- 5
Wadau kuna mbunge wa Mtera kupitia CCM naona anafoka hapa bungeni na kutoa povu kwamba CHADEMA wanafadhiliwa na Ujerumani ili kupinga muswaada wa katiba mpya na kusababisha machafuko katika nchi hii. Naona huu kama uzushi usio kifani ambao una namna ya udaku fulani hivi! Na kama ni kweli basi kuna tatizo hapa! Vinginevyo hapa kuna umuhimu wa kuiomba serikali ya Ujerumani ilitolee ufafanuzi suala hili au huyu mbunge afute kauli yake.
mi nawashauri wabunge wa chadema wasililize kwa makini sana kauli na shutuma zinazotolewa na wabunge wa ccm then warudi kwa wananch kutufafanulia, NAJUA UONGO MWINGI UNAONGELEWA NA WABUNGE WA CCM ILI CHADEMA WAONEKANE WABAYA, CHADEMA WAJITAHIDI SANA KUWA WAKWELI KWA WANANCHI ILI KUWAUMBUA CCM.
kiukweli hamkwepi kabisa msaada wa ujerumani kwa cdm ni wazi na hasa chama christian democratic ndio mabwana wa cdm tukiongezea na shoga cameroon ni marafiki wakaribu wa mbowe/cameroon ni patner ktk ushoga wao