Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Nikiri hupenda sana kumsikiliza Tundu Lissu akiwa kwenye operation 255 za CHADEMA zinazoendeleq mikoani...
Si mara moja au mbili Lissu amesikika akisema Chato Airport haina ndege wakazi wake wanaanikia mpunga...
Jana akiwa Katavi kasema stand ya mabasi chato watu wanaanikia mpunga...
Je hizi taarifa ni za kweli? Mbona serikali imekalia kimya tuhuma hizi?
my take: Kama si kweli zitamshushia thamani sana Tundu Lissu kama nayeye amekua mwanasiasa mwongo na mzushi sana.