Hizi ni habari za mida ya kupiga ghahawa. Unatumika vizuri sana. Ila waja hawataacha kusemaNikiri hupenda sana kumsikiliza Tundu Lissu akiwa kwenye operation 255 za CHADEMA zinazoendeleq mikoani...
Si mara moja au mbili Lissu amesikika akisema Chato Airport haina ndege wakazi wake wanaanikia mpunga...
Jana akiwa Katavi kasema stand ya mabasi chato watu wanaanikia mpunga...
Je hizi taarifa ni za kweli? Mbona serikali imekalia kimya tuhuma hizi?
my take: Kama si kweli zitamshushia thamani sana Tundu Lissu kama nayeye amekua mwanasiasa mwongo na mzushi sana.
So lissu ni mwongo?View attachment 2635341 kesho kutwa hiyo hapo Dar to Geita chato!
Abiria
Sasa kwanin nidanganye, nimeenda mpaka mganza, na nimekaa hapo siku mbil nzima.Acha uongo ukuaji wa Chato umepungua kasi tu lakini haitakaa itokee iwe kama Mobutu!
Hamnaaa baaanaaa. Cant imagine all the money he scooped and squandered is gone in the drain.Sasa Air Tanzania inatuaje kama wanaanika mpunga!!? Za kuambiwa changanya na zako!