miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,811 Reaction score 49,053 Jul 21, 2015 #2 kwani walikuwa wanasafiri kuelekea wapi?
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 Jul 22, 2015 #3 Kumbe roho bado zinawauma! Jiandaeni kwa maumivu mengine mazito zaidi msimu huu! go Chelsea go!!!
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,276 Jul 23, 2015 #4 mbingunikwetu said: Kumbe roho bado zinawauma! Jiandaeni kwa maumivu mengine mazito zaidi msimu huu! go Chelsea go!!! Click to expand... Vipi mkuu ile mbinu ya kupaki basi hamkuitumia mbona kama vile mmeoshewa
mbingunikwetu said: Kumbe roho bado zinawauma! Jiandaeni kwa maumivu mengine mazito zaidi msimu huu! go Chelsea go!!! Click to expand... Vipi mkuu ile mbinu ya kupaki basi hamkuitumia mbona kama vile mmeoshewa
Dj mat JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 747 Reaction score 475 Jul 23, 2015 #5 Walijua wanacheza na timu ya mchangani,wakafunguka kucheza game la kisasa na kilichowakuta ndo hivyo tena!
Walijua wanacheza na timu ya mchangani,wakafunguka kucheza game la kisasa na kilichowakuta ndo hivyo tena!
Mr. Mwalu JF-Expert Member Joined Feb 4, 2010 Posts 1,057 Reaction score 562 Jul 23, 2015 #6 Muulize petr cech Attachments 1437628588447.jpg 18.1 KB · Views: 84
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,276 Jul 23, 2015 #7 Dj mat said: Walijua wanacheza na timu ya mchangani,wakafunguka kucheza game la kisasa na kilichowakuta ndo hivyo tena! Click to expand... Ila kweli new york R B inaonyesha si haba
Dj mat said: Walijua wanacheza na timu ya mchangani,wakafunguka kucheza game la kisasa na kilichowakuta ndo hivyo tena! Click to expand... Ila kweli new york R B inaonyesha si haba