Ni kweli Chuo cha Afya cha Mwananchi-Mwanza kimeongeza ada?

Jenerali Ambamba

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
3,344
Reaction score
2,536
Wadau...

Nimepata taarifa kuwa chuo cha Uuguzi cha Mwananchi kilichopo Jijini Mwanza Kimepandisha ada ghafla kwa wanafunzi wake.

Mwenye taarifa sahihi na za uhakika tujulishane maana nina mpango wa kumpeleka mdogo wangu hapo.


Tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…