Doswe Dossena
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 314
- 557
Kila dawa ina madhara ila yanapishana tuHabari..!!?.
ni hivi..
inasemwa ya kwamba dawa za uzazi wa mpango za kizungu zina madhara makubwa kwa watumiaji.
Je kuna ukweli wowote katika hili??.
wanajavi tupeane elimu juu ya hili tafadhali.....
Zina madhara Ndio lakini ndo hivyo kuzaa kila mwaka inahitaji uvumilivu
Sio wazee wote wamezaa kwa mpango na mpk sasa wapo wasiotumia hizi panga uzazi na wanazaa kwa mpango tupo tofauti katika homoni ujue Hilohao wazee wetu hawakuzitumia ila mbona wamezaa kwa mpango?
hao wazee wetu hawakuzitumia ila mbona wamezaa kwa mpango?