Ni kweli Diamond anashuka?

Mkuu tuletee mrejesho.. Unaonaje kijana kashapote? au mganga wako alifariki?
 
hivi huyu dawa yenu yupo hai kweli akishuhudia kupanda kwa jamaa na si kushuka km alivokuwa akipiga ramli?
 
Mpwa nadhani leo unaweza kusema mtu mwenye nyumba yake tena kubwa hawezi kuweka studio kwenye nyumba ya kupanga!!!
 
Jamani wadau nataka kufahamu hivi ni kweli dogo diamond anashuka umaarufu na kimziki i heard some people say so na wamenikera coz namkubali sna dgo na namuombea sana asonge mbele.ila hawa wadau wananikwaza je ni kweli dgo ana drop?
Shuka ya size gan
 
Warumi upo!mkuu wa ubuyu tanzania nzima..
 
Watabir bwana,chuki zao za moyoni wanajifanya watabiri.Mungu si mwanadamu
 
Kaacha kutoa nyimbo nzuri anafanya video Kali. Kashuka upande mmoja Wa audio kapanda upande Wa pili wa video. Mimi binafsi ndivyo navyoona.
 
Amakweli riziki ya mtu anatoa Mungu pekee,hebu fikiria hawa watu ndio wangekuwa watoa riziki!
 
Jamani wadau nataka kufahamu hivi ni kweli dogo diamond anashuka umaarufu na kimziki i heard some people say so na wamenikera coz namkubali sna dgo na namuombea sana asonge mbele.ila hawa wadau wananikwaza je ni kweli dgo ana drop?
ya ana shuka za kujifunikia nyumbani kwake na pia huwa anashuka kwenye gari, kwenye ngazi nk
 
Eiiiishh..!!
 
Anashuka vp kwa mfano? Mikataba yote minono inamfuata yeye tu. Atakapotokea wa kumchallenge ndio atashuka lkn sio kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…