Ni kweli Diamond ndiye C.E.O wa Wasafi Media?

Mo Genius

Senior Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
135
Reaction score
319
Wakuu nataka kufahamu nani mmiliki mkurugenzi mkuu wa wasafi media yaani mwenye share kubwa...

Mimi kwa ufahamu wangu ni Diamond je ni kweli diamond ndiye ana share nyingi pale wasafi media mpaka akawa mkurugenzi mkuu?

Au kuna mtu mwingine tofauti anayemiliki media hii kupitia mgongo wa Diamond?.

Mnijuze wanaojua ili?
 
Unafahamu tayar halafu unatuuliza sisi...HATUJUI ni vyema ungemuuliza mwenyewe...... Pompo mpo lipopoo
 
Kuwa Mkurugenzi Mkuu hakuna uhusiano wowote na suala la kuwa na hisa kwenye kampuni husika, hususani kama kampuni yenyewe ni kubwa!

Lakini kukujibu swali lako, jibu ni NDIYO, yeye ndie CEO wa Wasafi Media lakini share zake ni 45% huku mwenye share nyingi akiwa na 53%.
 
Itakusaidia nini ukijua? Wamekuita interview unadhani utaulizwa hilo swali? Usihofu hawawezi kukuuliza
 
Wakuu nataka kufahamu nani mmiliki mkurugenzi mkuu wa wasafi media yaani mwenye share kubwa...

Mimi kwa ufahamu wangu ni Diamond je ni kweli diamond ndiye ana share nyingi pale wasafi media mpaka akawa mkurugenzi mkuu?

Au kuna mtu mwingine tofauti anayemiliki media hii kupitia mgongo wa Diamond?.

Mnijuze wanaojua ili?
Wewe genius fake unatakiwa uelewe kuna utofauti mkubwa kati ya umiliki au mmiliki wa kampuni na mkurugenzi mkuu wa kampuni
mkurugenzi mkuu anaweza kuwa muajiriwa tu anaajiriwa kusimamia shughuli za uendeshaji za kila siku za kampuni kwa mujibu wa maelekezo ya mmiliki au wamiliki au bodi of directors kulingana na organisation structure ya kampuni ili kutekeleza malengo ya taasisi
Ila mmiliki pia wa kampuni yake anaweza kuwa mkurugenzi mkuu wa taasisi au kampuni yake

kama wamiliki ni wengi wanaweza kuamua kumteua mmoja kati yao kuwa mkurugenzi mkuu au kuamua kuajiri mtu mwingine kuwa mkurugenzi mkuu

kwenye hii kesi yako kiukweli hi kampuni ni mali ya kusaga Ila kiusani na kiujanjaujanja ikiwemo mbinu za kukwepa Kodi (kuwa na threshold ndogo) pamoja na kutekeleza takwa la kisheria la kusajili makampuni ambapo lazima kuwa na wanahisa zaidi ya mmoja ndipo akawaorodhesha mtoto wake, mke wake na dimond Kama wanahisa wa kampuni hiyo huko brela na tcra
 
na diamond akaamua kumpatia na jina la wasafi kabisa, na anamsindikiza kusaga kwenye utajiri kwakuwa yeye ni msamalia mwema. Sawa mkuu kweli mond ni kichaa sana
 
Ndio manake na sio msamalia anatumika Kama wanavyotumika mapunda kwenye biashara ya unga
 
Ni kweli hata wema,Tanasha,Hamisa mobetto Ni mademu wa kusaga diamond yupo pale Kama kivuli tu pia nyumba zote za diamond Ni Mali za kusaga sema diamond Ni kivuli usisahau pia hata label ya Wasafi si yake ni Mali ya kusaga sema yeye yupo Kama kivuli
 
ukweli ni hivi wakati wasafi tv inaanzishwa TCRA walitangaza wamiliki ambapo mmiliki mwenye hisa nyingi ni mke wa joseph kusaja.
walionyesha ana miliki hisa 51 hivyo basi kibiashara ndiye mwenye final say na anayepokea gawiwo kubwa.
Sasa ni hivi hushamuona siku yeyote mke wa kusaga anaongelea chochote kuhusu hiyo wasafi tv?
Jiulize kwa nini? wakati yeye ndiye mmiliki mkubwa?
Ni kwamba wanamtumia tu domo kutengeneza pesa nyingi kulipo anazopata domo hapo wasaf tv wakati domo yeye ndio anaonekana kimbelembele
 
mnengene Wewe una chuki binafsi na ujui structure yao ya biashara iko vipi na makubaliano kiujumla ndio maana unaona pale Diamond pale ndio mwenye nguvu kubwa mfano mzuri mmiliki wa Facebook Ni mark Zuckerberg lakini ana share ya 29.1% anashika nafasi ya 3 kwenye owneship ya fb lakini yeye ndio mwenye nguvu ya kimaamuzi kuliko mtu yoyote pale unajua Ni kwanini?
 
ukweli ni hivi wakati wasafi tv inaanzishwa TCRA walitangaza wamiliki ambapo mmiliki mwenye hisa nyingi ni mke wa joseph kusaja.
walionyesha ana miliki hisa 51 hivyo basi kibiashara ndiye mwenye final say na anayepokea gawiwo kubwa.
Sasa ni hivi hushamuona siku yeyote mke wa kusaga anaongelea chochote kuhusu hiyo wasafi tv?
Jiulize kwa nini? wakati yeye ndiye mmiliki mkubwa?
Ni kwamba wanamtumia tu domo kutengeneza pesa nyingi kulipo anazopata domo hapo wasaf tv wakati domo yeye ndio anaonekana kimbelembele
45% anayo ingiza Diamond ni pesa ndogo duuuu.........😀😀😀😀.
 
kwa iyo 51% ni ndoo kulipo iyo 45% da vijana si jui mnaakili za wapi? kwa hiyo kwa akili zako 45% ni kubwa kulipo 51%?
Ndio maana ninasema domo anatumika kama punda kwenye biashara ya unga
 
Duu inamaana kama kampuni ikingiza 100 manake Mondi ana 45 ,Kusaga 51 kwa hiyo 45 ni hela ndogo.

Kweli nimeamini akili ni nywele kila mtu ana zake,basi kama ndio hivyo Bill gate ,Mark Zuckerburg hawa nao wana wafanyia watu kazi manake hisa wanazo miliki hazizidi 30%.

😀😀😀
 
45% anayo ingiza Diamond ni pesa ndogo duuuu.........😀😀😀😀.
halafu we mshamba hapa tunaongelea % ya umiliki sio kiasi halisi cha faida cha pesa kilichopatikana,
kwa taarifa yako mapato ya hizi redio "Fanya Mzaha" aka FM ungeyajua usingekuja na maupambe yako hapa .
Kwa taarifa yako USA ata Sout Africa watu wanaoperate hizi FM redio maghetoni kwao just for fun na wala sio big deal
 
Kwani faida ikipatika wana gawana kwa kutumi parameter gani % ya hizo hisa unazo miliki au ...............(unayo ijua ww).

Au labda tupe mathematical modal inayo tumika MTALAMUNA.

😀
 
Wakuu nataka kufahamu nani mmiliki mkurugenzi mkuu wa wasafi media yaani mwenye share kubwa...

Mimi kwa ufahamu wangu ni Diamond je ni kweli diamond ndiye ana share nyingi pale wasafi media mpaka akawa mkurugenzi mkuu?

Au kuna mtu mwingine tofauti anayemiliki media hii kupitia mgongo wa Diamond?.

Mnijuze wanaojua ili?
KWAnza nikufahamishe kuwa. Ceo nimuunganish kati ya board of directors na na employees pia huchukua nafas ya kufanya maamuz makubwa ya kampun pia huyu hawii ceo kwakua anashare nyingi au ndogo baliii huchaguliwa na board of directors

Sikiliza wataaalam hapa wakikupa maaan ya ceo

What Is Chief Executive Officer (CEO)?​

A chief executive officer (CEO) is the highest-ranking executive in a company, whose primary responsibilities include making major corporate decisions, managing the overall operations and resources of a company, acting as the main point of communication between the board of directors (the board) and corporate operations and being the public face of the company. A CEO is elected by the board and its shareholders.
 
Back
Top Bottom