Ni kweli diamond platnum anatumia uchawi ( uganga )

Ni kweli diamond platnum anatumia uchawi ( uganga )

D 007

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
206
Reaction score
147
kWA MUDA MREFU SASA NIMEKUWA NIKISIKIA KWENYE VYOMBO VYA HABARI MBALIMBALI WASANII WAKIONGELEA SUALA LA UCHAWI KWENYE SANAA YA MUZIKI NA MANENO YAO NI DHAHIRI YANAENDA KWA KIJANA NASIBU .. A.K.A DIAMOND PLATNUM AMBAYE NYOTA YAKE IPO JUU SANA KWA SASA HIVI...N HIVI UTAJUAJE MTU GANI MCHAWI PASIPO NA WEWE KUWA MCHAWI...JE NI KWELI SANAA YETU IMETAWALIWA NA USHIRIKINA SASA HIVI????
 
itafahamika tu hapo mbele.......kwasasa tumwache kama alivyo.
 
Ndio anatumia uchawi, unataka nin sasa? Tumechoka na story hizo jaman kha
 
Kwa hiyo JF kuna waganga au wachawi ambao wanweza kupima kama Diamond anatumia mganga kujipaisha???

Ndege inapita juu unauliza imebeba mzigo gani unategemea ujibiwaje?
 
Back
Top Bottom