HahaaaaaKiboko yao wote kwa kufoji ni Taribo West wa Nigeria,alipunguza miaka kama 20 hivi kudadadaki
Mzaliwa yoyote wa ulaya hawezi kufoji umri-the system in place ya recording births etc etc is forgery proof
mimi sielewi Brazil si nchi imeendelea how come hivi vitu vinawezekana??Kazaliwa Brazil sio Ulaya
mimi sielewi Brazil si nchi imeendelea how come hivi vitu vinawezekana??
mambo ya utata wa umri naona yako Afrika pekee. Ukiona gazeti linazungumzia age issues-huyo mchezaji lazima ni mzaliwa wa AfrikaSijasema ka forge....na sisemi haja forge
Brazil bado hawajafika level ya Europe