NI KWELI ELIMU NI BORA ZAIDI KULIKO PESA?

Chrix_Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
880
Reaction score
1,100
Kipindi nasoma nakumbukua nilikutana na hii kitu basi nilikua nasimama kwenye pesa tu na leo ndo naelewa ukiwa na pesa kila kitu ni mteremko tu!!! Vipi kwa upande wenu wadau wengine imekaaje?
 
oyaa mchizi lazima education kwanza halafu mambo mengine yatafuata .Just think of this u have money but no education hw will you manage this money so that you can get more of it. Elimu lazima
 
Pesa ndo mpnago mzima mkuu.... Wapo wenye pesa kibao ila elimu hamna en ukiangalia asilimia kubwa ya matajiri hawakusoma so wameajili waliosoma au kuwasomesha watoto wao ili kumanage biashara zao..... Hivi unadhani sahiv ikatokea umeambiwa upewe pesa milion 100 au upelekwe kujiendeleza kimasomo kipi utakubali mkuu?
oyaa mchizi lazima education kwanza halafu mambo mengine yatafuata .Just think of this u have money but no education hw will you manage this money so that you can get more of it. Elimu lazima
 
Afadhali nijiendeleze kimasomo mkuu.Ok poa pesa nimepata nimefanya biashara ila kitu ninachokipata ni loss tu.Huoni khwa kama ingekuwa nimeenda shule halafu hii situation iwe imenifika unwdhani sitakuwa na kitu ambacho naeza think about kwa Yale mafunzo ambayo nimepata Iliku kujiinua tena
 
Mkuu wapo walioenda shule na wakapata mitaji mwisho wa siku wakafel bado na wapo ambao hawakusoma mpk leo tunawaita matajiri dunian....kuimiliki pesa hakuitaji elimu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…