Ni kweli galaxy a73 5g 250,000?

Ni kweli galaxy a73 5g 250,000?

pabro11

Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
60
Reaction score
104
Wakuu Naona wauzaji wengi FB bei zao around 250k je hizi ni zenyewe au copy nisije pigwa?
 
Kama ni mpya ni copy ila kama ni used ndio bei zake ila simu og inaonekana tu build quality ukiishika
 
Ukiachana na copy na OG pia hakikisha ni dukani na unapewa risiti tena ya TRA maana unaweza nunua 250 ukaomba kuirudisha na ulipe 500 ubaki na amani.
 
Ukiachana na copy na OG pia hakikisha ni dukani na unapewa risiti tena ya TRA maana unaweza nunua 250 ukaomba kuirudisha na ulipe 500 ubaki na amani.
Asubiri giza liingie tumtafutie.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom