Ni kweli hakuna hotuba ya Rais Samia akikemea rushwa na ufisadi au wanamsingizia? Kama unayo tuwekee hapa

CAG awataje wakwepa Kodi ili waone aibu.
KUna vitu ni aibu hata kusema ni nani alisema; kula kwa urefu wa kamba, msile mkavimbiwa, wataje mafisadi wa fedha za serikali waone aibu. Na bado tu tunadhani tuna captain wa kutupeleka tunakotaka kwenda? Sisi ni watu wa kuhurumiwa sana.

Ndio maana naona watu wameanza kuimbisha mapambio "Idd Amin akifa, mimi siwezi kulia..."
 
Kwa samia tumepigwa kama Taifa!
Umesikia wimbo Makamu wa Raisi akiimba?

Idd Amin akifa
Mimi siwezi kulia....

Wle wa enzi za vita vya Kagera watakuwa wanaufahamu sana. Kichekesho ni kwamba watu wanamuita Samia kitu kama hicho
 
Ipo hotuba anayoruhusu viongozi kuiba(kwa kiasi wasizidishe sana) na kila rushwa(pia ni kuwa wale rushwa kwa kiasi lakini wasizidishe sana) na aliwafungulia ruhusa hizo kwa unyenyekevu, heshima na taadhima kwamba "wale kwa urefu wa kamba zao" na akalalamika na kulialia kwa wale wanaokula zaidi ya urefu wa kamba zao mpaka wanavimbiwa.
 
Magufuli alikuwa akikemea sn ufisadi majukwaani, but ilipotoka ripoti ya CAG kwamba 1.5T hazionekani akamfuta kibarua.
 
Raisi tunae haswaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…