Wadau naombeni kuuliza kama kuna mtu yeyote aliyeomba bodi kupitia equivalent na jina lake limetolewa kua amepata au amekosa make mwenzenu jina langu halionekani kotekote.

Sijui kama ntapata au ndo nimeshakosa.Cha ajabu zaidi hadi chuo nilichoomba hawajatoa majina had sasa,matumaini na ndoto yangu inazidi kufifia!.Nisaidie mwenenu!

Najua hua wanatoa mikopo ila kama umepata zaid ya gpa ya 3.5 ya diploma, ila chuo ulichosoma ndo wanatakiwa wapeleke majina bodi. Ninaye bro angu amepata mkopo mwaka jana na ye ni equivalent.
Wadau naombeni kuuliza kama kuna mtu yeyote aliyeomba bodi kupitia equivalent na jina lake limetolewa kua amepata au amekosa make mwenzenu jina langu halionekani kotekote.
Sijui kama ntapata au ndo nimeshakosa.Cha ajabu zaidi hadi chuo nilichoomba hawajatoa majina had sasa,matumaini na ndoto yangu inazidi kufifia!.Nisaidie mwenenu!

Jana nilikuwa HESLB nikawauliza, wanadai kuwa TCU haijapeleka majina ya equivalent, so jaribuni kuomba tena mwakani>
Hapo penye nyekundu,mkuu kwakweli hilo jina naliunga mkono!

lakini wenye uquivalent huwa hawaaply tcu wana apply vyuoni na kwann hawa mmbwa hawajapeleka majina