Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
....kuwa Mwanaume anaweza kuwa na Wasichana/wanawake hata wa 3..lakini ukimuuliza kati ya hao..unaoa Yupi ni rahisi kujibu Fulani naoa...ila wale wengine nazuga tu...ila fulani ndio mama mwenyewe
.....Lakini kwa Mwanamke... akiwa na wanaume/ Wavulana wa 3...Tofauti..hawezi kujua ni nani kati ya hao atakaye muoa...sana sana utasikia ..aah mwenzangu wanaume wanahaminika hawa...?
...Nauliza tu kama Ni kweli...?
Jokate twambie wewe, kati ya diamond na wengine wale, nani anabeba mzigoc kweli..:flypig:
Jokate twambie wewe, kati ya diamond na wengine wale, nani anabeba mzigo
si umwambie tu ni Diamond? manake nafikiri hilo ndo alilokuwa anasubiri.............. good to be on stancejibu unalo sasa......:rain::rain:
si umwambie tu ni Diamond?
manake nafikiri hilo ndo alilokuwa anasubiri.............. good to be
on stance
si kweli,me namjua baba watoto to be! hahaha...