Ni kweli hiyo link inakupatia dola endapo utadownlod?

Halidi Haji

Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
53
Reaction score
18
KUNA UKWELI GANI KUHUSU MAELEZO HAYA:-

Hio link inakupatia dola endapo utadawnlod na ukidownlod unapata link yako unamtumia mwingine unazidi kupata dola halafu mwisho wa mwezi utaelekezwa sehemu ya kupata hela yako jisajili kwa kuingia kwenye hii link halafu utaona sehemu imeandikwa register (jisajili) utaandika jina lako password namba yako ya simu na mwisho email.

Mfano:-

jumasalimu@gmail. com utakuwa umejisajili utapata dola 25 na link yako halafu utatumia mwingine akijiunga na wewe unazidi kuongzewa dola.
 
Matapeli sijui zile ni ads za ma website yao. Uongo fix wanatuvuta kamba
 
Tupia hiyo link tupate hayo madola kabla ya njaa haijawa Kali tukajinunulie mahindi na Michele ya kutosha
 
ni njia mojawapo ya kuongeza trafic kwenye website
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…