Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
πππGo ahead bhana! Nataka nile ubweche wa harusi.
Kwa mleta mada; Mbona watu tumepata wenza wa maisha na watoto juu ile kiukweli ukweli ila sasa mtu unajikuta huwezi kusema unaenjoy kimyakimya tu.π
Kwa wenzangu tuliopata humu inakuwaje tunajikuta tupo tu kimya?
makaveli10 kapata mke humu humu kaoa na ana mtoto Alhamdulillah ndoa yao Ina muda sasa .Mbona hamjawahi kuleta mrejesho ?
Mkipata wenza jaman, mrudi kuleta feedback na wengine wahamasike
Binti sayuni Mwanamke wa Mithali, nyie wote wale wale tuMimi nikipata siku nitarudi niwape na kadi za mualiko kabisa
π π π hongera kumbe kuna couples humuMimi nimempata ila simuweki hadharani naogopa
View: https://youtu.be/LJONP5YAokU?si=d6iZCf7F67WrauIj
Heeeeh! Kumbe hata ww umepatia humuπππ!Go ahead bhana! Nataka nile ubweche wa harusi.
Kwa mleta mada; Mbona watu tumepata wenza wa maisha na watoto juu ile kiukweli ukweli ila sasa mtu unajikuta huwezi kusema unaenjoy kimyakimya tu.π
Kwa wenzangu tuliopata humu inakuwaje tunajikuta tupo tu kimya?
Exactly π― hili jukwaa ni pendwa sana lidumu mileleπ π π hongera kumbe kuna couples humu
Wale wale kama weweBinti sayuni Mwanamke wa Mithali, nyie wote wale wale tu
ππππMnajitekenya na kucheka wenyewe! Sio ila inasikitisha sana.
Watufungilie tu JF yetu huku nanjilinjiExactly π― hili jukwaa ni pendwa sana lidumu milele
Tumia vpn jisajili Kabisa Cc ephen_Watufungilie tu JF yetu huku nanjilinji
Ndiyo tunapata ππ₯° wapo wanaume wazuri sana humu!Mbona hamjawahi kuleta mrejesho ?
Mkipata wenza jaman, mrudi kuleta feedback na wengine wahamasike
Hiyo story nasubiria kwa hamu sanaNdiyo tunapata ππ₯° wapo wanaume wazuri sana humu!
Siku moja nitakuja kuelezea story yangu na mwanaJF bado naikusanyia nguvu.
Cc:
onestopcenter
Ntafanya hivyoTumia vpn jisajili Kabisa Cc ephen_
Mwana JF mwenyewe ndiyo huyo uliyemtagπ πNdiyo tunapata ππ₯° wapo wanaume wazuri sana humu!
Siku moja nitakuja kuelezea story yangu na mwanaJF bado naikusanyia nguvu.
Cc:
onestopcenter
πWale wale kama wewe