Ni kweli huwa mnapata wenza humu?

Nami ngoja nitafute, ila sio leo sio kesho wala majogooπŸ˜‚πŸ˜‚
Humu ndani sikushauri kaka, labda itokee mkutane huko nje halafu kumbe wote mkawa watoto wa Melo, ila sio mkutane humu mkajuane nje huko.....

Yaani ikitokea hata kwangu nichapwe vikobo kabisa kaka.....humu ndani narudia tena sio kwa kutafuta mwenza siriazi kabisaa labda kama unatafuta mtu wa kuyaanika maisha yako hapo sawa.
 
wapo wenye akili, ipo siku nita kuambia kitu.

Sema fridge lako hali gandishiπŸ˜πŸ˜‚
 
Nitakuja kuleta mrejesho, wacha nishushe presha kwanza..
Au wee Fidodio unasemajeee? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
KWENYE LIST NIMO AU SIMO? NIFANYE KUPITA HIVIII MAPEEMAA, NME MKUMBUKA KOTA WA DHAHABU KULE GEITA KAMSUPRISE PISI GARI KALI, WAKAMFUMBA MACHO, WAKAMUULIZA NI MPENZI GANI UNAHISI NDO KANUNUA HII GARI, DAH DEM KAKA KIMYA BAADAE KUFUNGUKA JINA YAANI NI MTU MWINGINE AMBAE HATA RAFIKI ZAKE BAADHI WALIKUA HAWAMJUI, JAMAA ALIUMIA SANA AKATAKA KUACHA NDINGA WEEEEE WAPAMBE, WAKAONA JAMAAA UNA MACHEZO WEWE SI BORA TUKAGAWE KWA WATOTO YATIMA

fullstop, kwishaaaa
Nitakuja kuleta mrejesho, wacha nishushe presha kwanza..
Au wee Fidodio unasemajeee? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Samahani SANA,nimeona nilitoe rohoni nisije jipatia ugonjwa wa moyo Bure, unajua nilikuwaga nataka nikutongoze ila Nika ogopa baada ya kuwa nasoma comments moyo ulisita Nika ona Nisha wahiwa, Kuna siku ulisema usha chumbiwa tayari, nikajisemea usikute we unaeza kuwa unaniheshimu kama kaka


Fullstop, kwishaaaa
 
Kumbe evelyn ni mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…