Smatta JF-Expert Member Joined Nov 5, 2008 Posts 2,348 Reaction score 733 Oct 14, 2011 #1 Nimeskia mjadala leo asubuhi kwenye redio (classic FM-Kenya) kuhusu wanaume wa Kenya. Je mwanaume anaweza itiwa kazi na mwanamke hivi na akatae? Please click to the link usikie hiyo conversation kwenye simu. FULL VERSION Nicole and Muturi at La Mujer De Mi Vida by Bwana K on SoundCloud - Create, record and share your sounds for free
Nimeskia mjadala leo asubuhi kwenye redio (classic FM-Kenya) kuhusu wanaume wa Kenya. Je mwanaume anaweza itiwa kazi na mwanamke hivi na akatae? Please click to the link usikie hiyo conversation kwenye simu. FULL VERSION Nicole and Muturi at La Mujer De Mi Vida by Bwana K on SoundCloud - Create, record and share your sounds for free
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,075 Oct 14, 2011 #2 mambo ya teknologia haya wengine yanatushinda,wajuvi wa haitek mkishasikiliza twambieni wamesemaje.