Ni kweli jamani

GILLO

Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
11
Reaction score
1
wadau kunamdau aliwahi kupost kuwa alikuwa amempata mpenzi wake na alipodoo naye aligundua kuwa yule mwenzake hana joto yaani ni wabaridi but kuna baadhi ya watu walipost kwa kujokes bt swala hili ni la kweli kwani nimejaribu kuulizia kwa watu mbali mbali hasa kijana moja aamelikuta suala hilo majuzi tu na mdada moja amesema huwa akipata boyfriend na wakifanya tu huwa wanamwacha na kuanza kumkejeli ati ye hana jotoso nambeni je kudoo ni suala muhimu sana katika mapenzi?Je?kwa mwadilifu anaye subiri hadi ndoa na akakutana na suala hilo afanyaje?Je?ni vizuri kujaribu kabla ya ndoa
 
wadau kunamdau aliwahi kupost kuwa alikuwa amempata mpenzi wake na alipodoo naye aligundua kuwa yule mwenzake hana joto yaani ni wabaridi but kuna baadhi ya watu walipost kwa kujokes bt swala hili ni la kweli kwani nimejaribu kuulizia kwa watu mbali mbali hasa kijana moja aamelikuta suala hilo majuzi tu na mdada moja amesema huwa akipata boyfriend na wakifanya tu huwa wanamwacha na kuanza kumkejeli ati ye hana joto

so nambeni je kudoo ni suala muhimu sana katika mapenzi?
Je?kwa mwadilifu anaye subiri hadi ndoa na akakutana na suala hilo afanyaje?
Je?ni vizuri kujaribu kabla ya ndoa
 
ni vizuri...
siku hizi kila kitu uzoefu mbele...
ukimuhitaji manzi, anakuuliza ushawahi na manzi?hapo anataka kujua kama uko mzoefu kwenye hiyo tasnia...
 
Ndio maana iliwahi kuandikwa hapa ule usemi kwamba, "Mtamaliza mabucha yote lakini nyama ni ile ile." hauna ukweli wowote.
 
...kuna yaliyo ya muhimu na msingi zaidi kwenye maisha ya ndoa kuliko hilo joto la faragha.
 
Hili jambo lipo,anaebisha ni mtoto sana kiuzoefu!
 
HEMBU TULIPELEKE HILI KULE JF DOCTOR TUPATE MANENO YA KITAALAMU

mimi niliwahisikia kuwa wanawake weupe nao joto lao dogo sana kama la samaki majini. je kuna ukweli katika hilo?
 
haya ni matokeo ya utamaduni wa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja. Inasababisha KULINGANISHA. Na hakuna vifaa viwili vinavyofanana. hii tunaitumia kama EXCUSE ya kuendeleza ukware.
 
Ndio maana iliwahi kuandikwa hapa ule usemi kwamba, "Mtamaliza mabucha yote lakini nyama ni ile ile." hauna ukweli wowote.
Sio kweli nyama zinatofautiana na madem ni hivyohivyo.
 
...kuna yaliyo ya muhimu na msingi zaidi kwenye maisha ya ndoa kuliko hilo joto la faragha.

Lakini kumbuka mambo yote yanaanzia faraga unapofil mengne yanafuata.
 
Hii ni ya kweli kabisa nilishawah kuduu na demu wa hivyo.
 
du kama ni hivo huyu wangu anatosha.lakini joto kifuani au kule kwenye naniluuu?
 
haya ni matokeo ya utamaduni wa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja. Inasababisha KULINGANISHA. Na hakuna vifaa viwili vinavyofanana. hii tunaitumia kama EXCUSE ya kuendeleza ukware.
Unapojitahidi kuonja onja kwingi na wa kwako anaonjwa hivyo hivyo
 
haya ni matokeo ya utamaduni wa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja. Inasababisha KULINGANISHA. Na hakuna vifaa viwili vinavyofanana. hii tunaitumia kama EXCUSE ya kuendeleza ukware.

Suala si kuwa nao wengi,ht huyu mmoja wa sasa kama hana joto kama lile la yule awali lazma uone tofauti na hapo ndipo utata unapoanza! Hivi hujawahi kuwa na wapenzi wa3 au wa4 kwa kipindi tofauti then ukatamani uoe mke mwenye combination yao wote from kitandani hadi nje!? japo hata hiyo combination bado wajua wazi itakuwa na mapungufu fulan.......?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…