Mongoiwe, kwa jinsi ninavyosoma post zako humu, unaonyesha wewe uko deep kwenye issues nyingi tuu, masuala ya umiliki mbona sio siri, unazama tuu hapo Brella kitu utakuta wazi, sasa hao ni wenye data wapi unaowaulizia wakupe ukweli, ili hali ukweli unaujua?.Kila uchao yanaibuka, jana nimesikia watu wakidai kuwa hata ile Hoteli ya Mwanza ya Malaika inamilikiwa na JK, na kwamba amemkabidhi mtanzania mwenye asili ya Kiasia kusimamia. Wenye data tupeni ukweli hapa JF.
anamiliki hiyo na nyingine nyingi sana.
kempinski ,moven pick,courtyard,southern sun,sopa,serena zote,peacock,holiday inn,white sands,gorrafe ocean view, na nyingine nyingi tu.
yaani wewe waijua moja tu? pole sana
si alisema anamiliki shamba la mananasi heka 400 na ng;ombe 7000 wakati wa kampeni....so kumiliki hoteli mi naona kawaida tu ...na atakuwa anamiliki internet cafe kule sinza mori
Napita tu......dogo punguza inferiority complex JK kumiliki hotel ni zambi?kuwa makini wewe hacha kukurupuka tunaitaji mawazo ya kujenga na sio kuja na uzushi uzushi kwn media makini kama hii...wa tz kama nyie mnaboa sana badilikeni hacha story za vijiweni kuleta huku.....et JK ana miliki hotel inahusu nini?angalia jinsi ya ku post pumba zako hapa sio tafuta wenzio.
Mongoiwe, kwa jinsi ninavyosoma post zako humu, unaonyesha wewe uko deep kwenye issues nyingi tuu, masuala ya umiliki mbona sio siri, unazama tuu hapo Brella kitu utakuta wazi, sasa hao ni wenye data wapi unaowaulizia wakupe ukweli, ili hali ukweli unaujua?.
Kama kuna mwanzisha thread anaanzisha kuulizia kitu kwa kuuliza, huku kiukweli majibu anayajua, then kuuliza huko sio in good faith bali ni kutaka kupika majungu!.
Jakaya ana rafiki yake mmoja wa kihindi aitwae Subash Patel ambae nae anajiita kuwa ni ****** na huyu bwana anamiliki vitega uchumi vingi zikiwemo hotel na kampuni za ujenzi ; most likely Kikwete ni silent partner wa huyu Subash na ndio maana akapewa mgodi wa makaa ya mawe na chuma huko mchuchuma kama muwekezaji!! Kumbuka Jakaya anatokea kwenye familia ya kimaskini sana kiasi kwamba anakuwa limbukeni mara anapooneshwa fedha kwenye viroba!!Kila uchao yanaibuka, jana nimesikia watu wakidai kuwa hata ile Hoteli ya Mwanza ya Malaika inamilikiwa na JK, na kwamba amemkabidhi mtanzania mwenye asili ya Kiasia kusimamia. Wenye data tupeni ukweli hapa JF.
anamiliki hiyo na nyingine nyingi sana.
kempinski ,moven pick,courtyard,southern sun,sopa,serena zote,peacock,holiday inn,white sands,gorrafe ocean view, na nyingine nyingi tu.
yaani wewe waijua moja tu? pole sana