Gharama ya vita Vya Kagera ilikuwa ni USD 400m. Baada ya vita hazina ikawa haina kitu kabisaaaaaSikutaka kuamini kwakuwa nilikuwa bado sijazaliwa...
But nikataka kujifunza na kujua zaidi kutoka kwenu mana najua zipo pipo ambazo humu JF zilikuwa zimeshaliona jua, labda wao wanaweza kutuelezea hili kwa kina pamoja na wale wenye uzoefu ktk mambo ya historia ya uchumi wa taifa letu.
Nimesukumwa kulileta hili mana ktk miaka hiyo ya nyuma sikumbuki haswa ni mwaka gani "specific" but nakumbuka bajeti ya taifa zima ilishawahi kuwa 20,000/Tsh ya enzi hizo.
Hili la 500Tsh ilivyoendesha vita ya kagera daah.... Hebu fungukeni.
Hii USD 400 kwa sasa itakuwa pesa ndefu sanaGharama ya vita Vya Kagera ilikuwa ni USD 400m. Baada ya vita hazina ikawa haina kitu kabisaaaaa
Ahaa bujibuji acha utani bwana[emoji45] [emoji23] [emoji23]Gharama ya vita Vya Kagera ilikuwa ni USD 400m. Baada ya vita hazina ikawa haina kitu kabisaaaaa
Ulimaanisha dola milion 4 au ??Gharama ya vita Vya Kagera ilikuwa ni USD 400m. Baada ya vita hazina ikawa haina kitu kabisaaaaa
The cost of the Kagera War By the end of the 1978/9 conflict, Tanzania had spent over $500 million (Sh 1,200,000,000) and lost 373 soldiers.Ahaa bujibuji acha utani bwana[emoji45] [emoji23] [emoji23]
Mkuu bajet ya mwaka huo ilikuwa kiasi gan???!,nadhani ni hela mrefu saana kwa wakati huo na wakati huu!!,The cost of the Kagera War By the end of the 1978/9 conflict, Tanzania had spent over $500 million (Sh 1,200,000,000) and lost 373 soldiers.
The cost of the Kagera War By the end of the 1978/9 conflict, Tanzania had spent over $500 million (Sh 1,200,000,000) and lost 373 soldiers.