Ni kweli juu ya hili? kitaalamu

Ni kweli juu ya hili? kitaalamu

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
wana jf nadhani mko cool!

kuna jamii ya watu wana amini kuwa kuendesha pikipiki au bicycle kwa muda mrefu inachangia upungufu wa nguvu za kiume!
Wakuu je ni kweli juu ya hili? Ilhali watu wanachukulia bicycle riding as a physical exercise!
 
Yaah! Hii ni kwel ila ni kwa % ndogo ambayo wataalamu huikadiria kufikia 25% ikiwa tu unaendesha mara kwa mara
 
Pikipiki na baiskeli hazina madhara, madhara yapo kwenye kuendesha farasi.Yaani hata huchukui round nakuambia mzee anasinzia
 
Kuhusu pikipiki iko hivi:

Unapoendesha pikipiki au baadhi ya gari injini huwa karibu mno kiasi kwamba joto la injini linaufikia mwili moja kwa moja hususana maeneo zilipo korodani

Ieleweke kuwa korodan huzalisha mbegu zilizohai katika joto lisilozid 35 centigred yaan centigred 2 chini ya joto la kawaida

Hii inamaanisha kuwa ukiendesha pikipiki kwa muda mrefu unaweza poteza uwezo wa kuzalisha mbegu zeoye uwezo wa kurutubisha mayai ya mwanamke na kwa hyo unakuwa na matatizo ya uzazi.

Kwa maelezo zaidi unaweza ni-consult kwa njia ya simu au email yangu kama utahtaji
 
nahitaji maelezo zaidi .Wapi email yako mkuu
 
Back
Top Bottom