Kuhusu pikipiki iko hivi:
Unapoendesha pikipiki au baadhi ya gari injini huwa karibu mno kiasi kwamba joto la injini linaufikia mwili moja kwa moja hususana maeneo zilipo korodani
Ieleweke kuwa korodan huzalisha mbegu zilizohai katika joto lisilozid 35 centigred yaan centigred 2 chini ya joto la kawaida
Hii inamaanisha kuwa ukiendesha pikipiki kwa muda mrefu unaweza poteza uwezo wa kuzalisha mbegu zeoye uwezo wa kurutubisha mayai ya mwanamke na kwa hyo unakuwa na matatizo ya uzazi.
Kwa maelezo zaidi unaweza ni-consult kwa njia ya simu au email yangu kama utahtaji