Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mkuu weka akiba ya manenoNajua Dua la kuku halimpati Mwewe Kama wahenga walivyonena
Hata hivyo pamoja nakutambua hilo bado naombea Sana Simba ipoteze mechi ya leo pale CCM Kirumba
Anachostahili mnyama ni kutafuna nyama tu, msiotaka kunyweni sumu ya panya mfe tu hakuna jinsi nyingineWadau wa JF
Najua kuwa Dua la kuku halimpati Mwewe kwa mujibu wa wahenga
Hata hivyo pamoja nakutambua ukweli huo bado naombea sana
Klabu ya Simba ipoteze mechi ya leo pale CCM Kirumba Mwanza
Wananiunga mkono karibuni tuunganishe nguvu mnyama apate anachostahili
SawaWadau wa JF
Najua kuwa Dua la kuku halimpati Mwewe kwa mujibu wa wahenga. Hata hivyo pamoja nakutambua ukweli huo bado naombea sana. Klabu ya Simba ipoteze mechi ya leo pale CCM Kirumba Mwanza. Wananiunga mkono karibuni tuunganishe nguvu mnyama apate anachostahili
Dua yako imejibiwa vizuri(kujibiwa sio lazima kukubaliwa). Lunyasi (Mnyama) kapata anachostahili. USHINDIWadau wa JF