Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 7,748 Reaction score 10,288 Jun 23, 2025 #1 Nakubaliana na maneno ya Luhaga Mpina kuwa yeye ni mbunge wa taifa. Angalia anavyopambana kwa ajili ya kupigania maslahi ya umma na taifa kwa ujumla. Angalia alivyopambana juu ya zao la pamba kwa manufaa ya watu wa jimbo lake. Hii ni wazi kuwa ni mbunge wa taifa na jimbo lake kwa ujumla.
Nakubaliana na maneno ya Luhaga Mpina kuwa yeye ni mbunge wa taifa. Angalia anavyopambana kwa ajili ya kupigania maslahi ya umma na taifa kwa ujumla. Angalia alivyopambana juu ya zao la pamba kwa manufaa ya watu wa jimbo lake. Hii ni wazi kuwa ni mbunge wa taifa na jimbo lake kwa ujumla.