Ni kweli kabisa vibonge wanajoto la juu kuliko vimodo

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Mungu yupo pamoji nasi daima,

Kwa niaba ya wanaume wapambanaji na wala bata nakiri kuwa ni kweli vibonge wana joto zuri la mwili kuliko vimodo.

Vitu kama stamina ni kutegemea na aina ya kongamano na ushiriki wake.

Vibonge hoyee joto hoyee!!

Kichwamoto.
 
em poza kichwa chako kwa maji ya bard maana naona kinachemka sana hadi unaandika moshi moshi na utumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…