Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Wakuu!!
Huwa sielewi tulichukua mkopo {company} ilitudhamini mkopo wa muda wa miaka6.
kuna baadhi ya wafanyakazi waliacha kazi baada ya pesa zao kuzitumia divyo sivyo na kwa maelezo yao
walidai kuwa hela ya NSSF walichukua bila shida yoyote.
Njia waliyokuwa wanatumia ni kwenda kufungua account zingine. mfano kama ulikopa Nmb basi unafungua account ya Nbc au crdb
Au kama mkopo ulitoka crdb basi unafungua account ya Nmb au Nbc nk. huko ndo hela yako ya Nssf itawekwa.
katika kuuliza nimeambiwa hivi kama NSSF yako ni zaidi ya milioni10 itakupasa uwe na account ya crdb pekee yake kuwekewa hela zako. Na iwapo una mkopo huko Crdb itazuiliwa kwa miezi3 hadi upate kazi nje na hapo itakuwa mali halisi ya Bank ya CRDB Nssf yako.
Nahitaji kujua zaidi kuhusu haya
1:Je bank ina Access gani ya kuchukua mafao yangu{pesa nje na mshara} ambayo wanajua wazi kabisa mdhamini ilikuwa company nayo ifanyia kazi na hivi sasa kazi sina?
2: Kwanini Nssf chini ya m10 wanakuwekea kwenye account yoyote ile lakini zaidi ya hapo itakupasa uwe na account ya crdb pekee hata kama awali ulikuwa unatumia NMB?
NAOMBA MSAADA KWA WAJUMVI WA SHERIA NA MASWALA YA MIKOPO/BANK