Ni kweli Kichuya anataka kusajiliwa na TP Mazembe?

baba mausingizi

Senior Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
189
Reaction score
119
Kuna taarifa naziona juu juu kwenye social network kuhusu kichuya kuhusishwa kutakiwa na tp mazembe mwenye kujua zaidi juu ya taarifa hii pls
 
Naomba habari iwe kweli, ana kipaji ila akienda mazembe kuna kitu kitaongezeka kwenye mpira wake.
 
yanga wanaomba aende kabla ya 29/04/2018 hahaha natania tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…