Wasomi naomba msaada hapa
nimemfatilia sana Rais wa nchi hii na kugundua kuwa ni mtu ambaye hakumaliza masomo yake ya secondary,nimemfatilia kwenye hotuba aliyotoa wakati anaongea na wazee wa ccm wa dar ilionekana kama ni msomi sana,lakini nimemfatilia tena kwenye hotuba yake jana kwenye TBC wakati anaongea na madaktari wa hapa nchini na wa kimataifa,kwa kweli inaonekana wazi kuwa anapwaya sana,swali langu kama kweli ana degree na wale madaktary wana degree kama yeye kwa nini akose confidence kabissa?mbona alikuwa na confidence wakati anaongea na wazee wa jiji la dar??
wakuu mimi sina degree nina tofauti yoyote na mtu mwenye degree?
duh alijitahidi saaaana hapo maana uwezo wake mdogo!Nasikia aligonga GPA ya 2.3 kama sijakosea....
Wasomi naomba msaada hapa
nimemfatilia sana Rais wa nchi hii na kugundua kuwa ni mtu ambaye hakumaliza masomo yake ya secondary,nimemfatilia kwenye hotuba aliyotoa wakati anaongea na wazee wa ccm wa dar ilionekana kama ni msomi sana,lakini nimemfatilia tena kwenye hotuba yake jana kwenye TBC wakati anaongea na madaktari wa hapa nchini na wa kimataifa,kwa kweli inaonekana wazi kuwa anapwaya sana,swali langu kama kweli ana degree na wale madaktary wana degree kama yeye kwa nini akose confidence kabissa?mbona alikuwa na confidence wakati anaongea na wazee wa jiji la dar??
kuna kipindi nilisikia jina mwanahawa sijui kafanya nini? Nadhani ni vinasaba
Asingemaliza kabisa, angeacha shule. Shule kasoma asimuaribie kazi mnikulu ila sidhani kama wale jamaa wana damu ya shule..
Ni Mwanaasha...kwahiyo baba ake anaitwa baba Mwanaasha...nadhani huyu angekuwa huku kata angetoka na zero
Baba Mwanaasha ana digrii tatu-PhD, Ni Dr, au nakosea wakuu?Wasomi naomba msaada hapa
nimemfatilia sana Rais wa nchi hii na kugundua kuwa ni mtu ambaye hakumaliza masomo yake ya secondary,nimemfatilia kwenye hotuba aliyotoa wakati anaongea na wazee wa ccm wa dar ilionekana kama ni msomi sana,lakini nimemfatilia tena kwenye hotuba yake jana kwenye TBC wakati anaongea na madaktari wa hapa nchini na wa kimataifa,kwa kweli inaonekana wazi kuwa anapwaya sana,swali langu kama kweli ana degree na wale madaktary wana degree kama yeye kwa nini akose confidence kabissa?mbona alikuwa na confidence wakati anaongea na wazee wa jiji la dar??
for the time being is very difficult to create line of demarcation between educated people and uneducated people.hii ni kwasababu ya kuingiza siasa kwenye taaluma za watu.mimi sioni tofauti kati ya wasomi na wasio wasomi kwenye nchi yetu kwasasa.wote wanafanya mambo kipuuzi tu.