Mabwepande JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 230 Reaction score 51 Feb 20, 2012 #21 Alipiga gpa 1.8 hapo udsm
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Feb 20, 2012 #22 MNYISAZU said: JK hana confidence kutokana na LAANA ya kuiba kura 2010. Click to expand... acha uzushi,una ushahidi,na ka unao si uupeleke mahakaman?wabongo kwa majungu hatujambo!
MNYISAZU said: JK hana confidence kutokana na LAANA ya kuiba kura 2010. Click to expand... acha uzushi,una ushahidi,na ka unao si uupeleke mahakaman?wabongo kwa majungu hatujambo!
Wi-Fi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,091 Reaction score 1,381 Feb 20, 2012 #23 topthinker said: wakuu mimi sina degree nina tofauti yoyote na mtu mwenye degree? Click to expand... yani cha msingi unafanya kazi au biashara zako halali zinazokuingizia kipato ni bora wewe kuliko mwenye digirii ambayo hamjaisaidia kitu!
topthinker said: wakuu mimi sina degree nina tofauti yoyote na mtu mwenye degree? Click to expand... yani cha msingi unafanya kazi au biashara zako halali zinazokuingizia kipato ni bora wewe kuliko mwenye digirii ambayo hamjaisaidia kitu!
Prishaz JF-Expert Member Joined Nov 18, 2011 Posts 2,898 Reaction score 5,020 Feb 20, 2012 #24 only83 said: Nasikia aligonga GPA ya 2.3 kama sijakosea.... Click to expand... hi hi hi! Bravooo raisi lolz
only83 said: Nasikia aligonga GPA ya 2.3 kama sijakosea.... Click to expand... hi hi hi! Bravooo raisi lolz
tembeleh2 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 765 Reaction score 166 Feb 20, 2012 #25 unajua mtu unaweza kuwa na degree ukawa huonekani kama una degree. Hii inatokana na kuipata kwa kukariri na si kupata maarifa. Mi nafikiri huyu jamaa aliipata kwa kukariri ndo maana mnamuona kama hana.
unajua mtu unaweza kuwa na degree ukawa huonekani kama una degree. Hii inatokana na kuipata kwa kukariri na si kupata maarifa. Mi nafikiri huyu jamaa aliipata kwa kukariri ndo maana mnamuona kama hana.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Feb 21, 2012 #26 Hana degree bali ana degedege.