LightfrmHeaven
Member
- Nov 26, 2010
- 5
- 0
ikiwezekana atupe nafasi,ni kweli kamuoa mtoto wa zakia tena yule mwenye asili ya kiarabu na tayari wana mtoto harusi ilifanyika nje ya nchi kisirisri, hizi data nilizipata kutoka kwa bodguard wa karibu wa jk
Wewe acha maswali ya udaku huu ni wakati kufikiria maendelea sio nani kamuua nani, mawazo ya kichangu doa hayo.
Inawezekana kweli kwani dini yake ambayo ameamua kuipigania kwa gharama yoyote inamruhusu kuoa hata wake 50.............kwani salma anajua?...angalieni asije akapasuka moyo mkiwataja na mkija na details zote
inamaana kanisa katoliki linaongozza kwa ubakaji duniani. wanajifanya hawatataki kuoa kumbe awanabaka
Mbona hakuna anayesema jinsi mnavyowachanganyia watu maji ya maiti kwenye chakula siku ya msiba au arobaini ya marehemu???? Au mnadhani hatujui???? Jiepusheni kunywa uji wa kwenye vifuu vya nazi!!!!!!
Ana waoto Nane (on record)......Salma ana watatu na hana uwezo(kiumri) kumzaa Rizwani...haya fanyeni mahesabu mengine
Mbona hakuna anayesema jinsi mnavyowachanganyia watu maji ya maiti kwenye chakula siku ya msiba au arobaini ya marehemu???? Au mnadhani hatujui???? Jiepusheni kunywa uji wa kwenye vifuu vya nazi!!!!!!
Achaneni na mambo ya udini.. Binadam wote sawa!Wewe ni mnafiki, tena ni mchonganishaji sana... tuwekee evidence hapa, sio unaongea pumba tu... nini unaweka udini pasipo hitajika? too bad
mmoja we ndo wa pili.kwani slaa anao wangapi?