Elections 2010 Ni kweli kikwete sio mdini?

hakuna rais mkristo aliyewahi kuwa mbumbu kama kikwete afanyavyo hawezi hata kuiheshimu katiba aliyokubali kuilinda...........ukisema waislamu wanaweza kufanya vyovyote ni sawa kwani kweney quran yako kuna aya 223 zinazochochea chuki,mauaji,na visa na ndiyo maana inaaminika kuwa dunia ingekuwa salama zaidi bila uislamu......
 
ahasante mkuu tumekupata........sijawahi kusikia kuwa dr.slaa hajamtaja fulani kwa sababu ni mkristo au hajamtaja fulani kwa sababuni muislamu hapa ni suala la kupotosha ili mkono uende kinywani hata km ni mchafu uliojaa damu za watu......na ndiyo maana ccm kwenye kampeni zao wanasema "USHINDI NI LAZIMA"....sasa jiulize maana yake nini?

 

Naomba ushahidi, wowote ule japo hata wa mfano usio na data zozote kuonyesha kuwa Kikwete ni mdini.

Usiongee kwa hisia tu. Nyinyi ndo watu hatari kabisa kwa umoja na mshikamano wa nchi yetu, wazushi na wazandiki. hamfai kabisa.

Mhukumu Kikwete kwa utendaji wake, kama vile ishu za ufisadi, Safari nyingi za nje, ahadi zisizotekelezeka. lakini kwa udini? no no no, no way mjomba. hata ukiangalia teuzi zake nyingi anabalance.
 
Tunataka rais ambaye hatapendelea dini yoyote na atafuata katiba ya nchi hatutaki rais ambaye wakristo wakisema tunataka mahakama zetu ziingine ndani ya serikali atakuwa tayari kupoteza muda wa serikali kujadili upumbavu wa namna hiyo tunataka atakaye sema kwa kifupi tu.............sitaki mjadala wa dini kwani nchi haina dini kwa hiyo kila dini ishughulikie mambo yao kwa mujibu wa sheria za usajili wa dini na kwa mujibu wa katiba ya nchi....tunataka rais ambaye hatakaa kimywa kwa mazito km haya ya kitaifa...........hatutaki rais ambaye yakitokea mambo mazito km hayo yeye anakwepa kwa sababu ni dini yake anakimbilia kubembea jamaica...kikwete kashindwa kuwa rais wa namna hiyo kwa hiyo tunataka rais wa watanzania na sio rasi wa waislamu au wa wakristo...":kujua kidogo sio kujua kila



 
Kwanza nakushukuru kwa kutambua udhaifu mkubwa wa kiuongozi wa kikweyte ila una maslahi binafsi iwapo hauko kujadili ukweli kuhusu udini wa kikwete..rejea tena original thread.......si haki kumwepusha kikwete na udini hata kidogo ni mtu hatari sana.............

 
kumtuhumu jk ni mdini without concrete evidence haijengi chochote, zaidi zaidi inakuja kutugawa watz wote , jk(ccm) wanatumia propaganda za udini ili kupata kura tu za waislam ila otherwise hawani nia njema yoyote na waislam , waislam ni watz na wanataka maendeleo pia so tuwe makini na maandishi yetu, imani ni inshu sensitive !!!
 
Tunataka rais ambaye hatapendelea dini yoyote na atafuata katiba ya nchi hatutaki rais ambaye wakristo wakisema tunataka mahakama zetu ziingine ndani ya serikali atakuwa tayari kupoteza muda wa serikali kujadili upumbavu wa namna hiyo tunataka atakaye sema kwa kifupi tu.............sitaki mjadala wa dini kwani nchi haina dini kwa hiyo kila dini ishughulikie mambo yao kwa mujibu wa sheria za usajili wa dini na kwa mujibu wa katiba ya nchi....tunataka rais ambaye hatakaa kimywa kwa mazito km haya ya kitaifa...........hatutaki rais ambaye yakitokea mambo mazito km hayo yeye anakwepa kwa sababu ni dini yake anakimbilia kubembea jamaica...kikwete kashindwa kuwa rais wa namna hiyo kwa hiyo tunataka rais wa watanzania na sio rasi wa waislamu au wa wakristo...":kujua kidogo sio kujua kila





 

kumbe hauna ushahidi wowote wa kuonyesha kwamba Kikwete ni mdini, basi ngoja sasa nikujibu hivi ifuatavyo.
Ishu ya mahakama ya kadhi ni jukumu alilotwishwa Kikwete na CCM ili alisimamie hapo mwaka 2005, hakujipa yeye suala hili, bali alitumwa na CCM chini ya uenyekiti wa Ben (Mkiristo),( sasa sijui kama Ben naye ni mdini).

Kikwete kama alivyoshindwa mambo mbalimbali akashindwa pia kulitimiza jambo hili katika miaka 5 ya kwanza ya utawala wake.

Kama nilivyosema, mhukumu Muungwana kwa Utendaji wake, lakini usizushe hili la udini.
 
Unamdanganya nani?........kila rais anaingia kwa ilani yake na ndiyo maana akiwa rais hataki kuwashirkisha waliomtangulia mpaka wamesusa kampeni zake........unakosea sio kidogo kusema ilianzishwa na ben..........kila uchaguzi unapofika ilani mpya inaandaliwa na anayatakiwa kusema anataka kusimamia nini ni rais mtarajiwa.......ungesema kadhi ilikuwepo hata kwenye ilani ya mkapa ila kuendelea kuongeza siasa ni kitu kibaya sana............km angejua yeye atakuwa rais wa watz basi ni razima angeikataa ilani aliyoandaliwa bila kupenda ila mapenzi yake kwa dini yakle yalimsukuma aweke jambo ambalo ni la imani moja.......uislamu.........huelewi nini mzee....endelea kusubiri nakuja na data za kikwete alivyowanyamazisha "waislamu waliposema hawatampigia kura tena uchaguzi huu"

 

Hivi wewe, unadhani Suala la ilani ni la mtu binafsi mgombea?, wewe unadhani mtu akija na mambo yake ya kijinga akaita ilani ya Chama ndo wenye chama watakubali eti kwa sababu mgombea anataka hivyo?, ilani inaandaliwa na chama, kunakuwa na debate mbalimbali na study mbalimbali zinafanyika, mgombea anaweza kutoa mawazo yake mbalimbali lakini, ni chama at the end kinaipitisha ile ilani. na kikawaida baada ya muda fulani wa kukaa madarakani chama humuuliza yule anayepaswa kuitekeleza Ilani yake kwamba ameitekeleza vipi.

Chama ni teamwork, kinaweza kumfukuza hata Raisi uanachama wa chama hicho iwapo anakwenda against masilahi ya chama.

Sasa hebu nieleze, Udini wa Jk ni upi?. acha kukwepa swali.
 
kikwete ndiyo kiongozi mdini ambaye hajawahi kutokea ktk historia ya tz na ni mtu hatari sana kwani yeye ni mdini kwa vitendo ila slaa ni mdini kwa maneno.......

NDUGU, UNGETUTENDEA HAKI KAMA UNGETUELEZA NI VIPI SLAA NI MDINI KWA MANENO ILI TUWEZE KUJADILI POINTS ZAKO KIUADILIFU!!!
 
wanasemaga kizuri chajiuza kibaya chajitembeza, ...............
 
Watanzania wenzangu, mbegu ya udini anayopanda kikwete kamwe haitasahaulika. Tutajuta maisha yetu yote kwa kumleta JK. Nyerere aliuona uwezo wake mdogo mapema sana! HEBU KILA MMOJA ATEMBELEE FACEBOOK PAGE YA "Jakaya Mrisho Kikwete for 2010" huko utajionea mabishano makali kati ya wafuasi wa ccm na wa chadema, CHA AJABU NI KWAMBA WANAOJIBU HOJA KUMSAPOTI KIKWETE ALMOST WOTE WANA MAJINA YA KIISLAMU. Tafakari, chukua hatua.... JK hatufai hata kidogo
 
wengi hawataki kusikia haya uliyoyaandika

 
Kikwete anajitembeza na kuuza sura.......anatapanya mali ya umma kwa kuchafua na mabango yake huku akisema anakubalika na ametekeleza ahadi..........

wanasemaga kizuri chajiuza kibaya chajitembeza, ...............
 
Naona umeamua kuchakachua aya sasa!
 
Mimi ni real chadema tena sio kama nyinyi mliodandia chama baada ya umaarufu, wengi wenu mlikuwa midomo juu 2005 mkishabikia ccm. Ghafla mmekuja chadema kwa ushabiki nafikiri hata kadi za uanachama hamna pia hata kadi ya kupiga kura hamna, kwa njia hii mnatuletea matatizo, kuna muda nikisoma post zenu naona mnaharibu kwa chadema na kuisaidia ccm.
Hebu ona hapo juu wote mnachangia kwa mlengo wa aina moja, jf inapoteza umaarufu bse watu wanashambulia dini etc.
Kuweka ****** yenu ofisini na kubofya upuuzi kwenye computer zenu ni uhaini kwa chadema kwani hamkisaidii chama zaidi ya kuropoka.
Baada ya jumapili hapa utaona wote mpo kimya, mnangoja tena 2015 mpige kelele.
Kwa mtindo huu na kuwa na watu wapuuzi kama nyinyi ccm inatuburuza saaaana bse tunatakiwa kuwa watu wa vitendo si blabla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…