Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Nawasalim,
Kuna imani mejengeka katika jamii hasa ya kitanzania pengine na nje ya Tanzania kuwa vitu vya zamani ni bora kuliko vya kisasa!
Mara nyingi tunasikia 'mziki ulikuwa zamani' au Dar es salaam ya enzi zile ilikuwa bora kuliko hii.. Mara utatajiwa kumbi za starehe za zamani wakizisifia na kuziponda za kisasa.
Kwa maoni yangu hii dhana si muda wote ni sahihi! Isipokuwa watu wana kawaida ya kuzoea na ku appreciate vitu alivyokuwa navyo! Ni sawa na chakula ukiwa kabila hili utapenda vyakula vya kwenu tofauti na vyakula vya jamii nyingine!
Huwezi niambia simu za mkoni za 'longi' ni bora kuliko za sasa!
Huwezi nimbia magari ya kizamani ni bora kuliko ya kisas
Huwezi niambia ndege za kizamani ni bora kuliko za kisasa!
Huwezi kuniambia matibabu ya zamani ni bora kuliko CT-SCAN, na MRI za kisasa..
Hata huo muziki si kweli kwamba wa zamani ulikuwa bora zaidi ya kisasa. Binafsi napenda dansi za 80's kwa sababu ndo kipendi nilichokulia ila sipendi kabisa dansi za 70's kuja chini..
Hata haya matatizo yaliyopo sasa kwenye jamii mfano upungufu wa nguvu za kiume, zamani ulikuwepo sana. Ndo maana kulikuwa na Taasisi za 'matoashi' nk..
Hayo tu!