Ni kweli kila kitu cha 'zamani' ni bora kuliko vya kisasa?

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2,302
Reaction score
4,603
Nawasalim,
Kuna imani mejengeka katika jamii hasa ya kitanzania pengine na nje ya Tanzania kuwa vitu vya zamani ni bora kuliko vya kisasa!
Mara nyingi tunasikia 'mziki ulikuwa zamani' au Dar es salaam ya enzi zile ilikuwa bora kuliko hii.. Mara utatajiwa kumbi za starehe za zamani wakizisifia na kuziponda za kisasa.

Kwa maoni yangu hii dhana si muda wote ni sahihi! Isipokuwa watu wana kawaida ya kuzoea na ku appreciate vitu alivyokuwa navyo! Ni sawa na chakula ukiwa kabila hili utapenda vyakula vya kwenu tofauti na vyakula vya jamii nyingine!

Huwezi niambia simu za mkoni za 'longi' ni bora kuliko za sasa!
Huwezi nimbia magari ya kizamani ni bora kuliko ya kisas
Huwezi niambia ndege za kizamani ni bora kuliko za kisasa!
Huwezi kuniambia matibabu ya zamani ni bora kuliko CT-SCAN, na MRI za kisasa..

Hata huo muziki si kweli kwamba wa zamani ulikuwa bora zaidi ya kisasa. Binafsi napenda dansi za 80's kwa sababu ndo kipendi nilichokulia ila sipendi kabisa dansi za 70's kuja chini..

Hata haya matatizo yaliyopo sasa kwenye jamii mfano upungufu wa nguvu za kiume, zamani ulikuwepo sana. Ndo maana kulikuwa na Taasisi za 'matoashi' nk..

Hayo tu!
 
Kwa maoni yangu hii dhana si muda wote ni sahihi! Isipokuwa watu wana kawaida ya kuzoea na ku appreciate vitu alivyokuwa navyo! Ni sawa na chakula ukiwa kabila hili utapenda vyakula vya kwenu tofauti na vyakula vya jamii nyingine!
Binafsi nina maoni kama hayo
 
Kweli aisee tukianzia na Daraja la mjerumani, Nondo ya mjerumani, hiyo misemo ilitapakaa sana kutokana na uimara wa vifaa vya wajerumani vilivyowekwa zamani na wakoloni...
Hataivyo mimi nadhani ni vifaa karibia vyote vinavyotengenezwa na viwanda vya ughaibuni huwa vinatengezwa kwa kukidhi viwango vya hali ya juu. Mfano mzuri kuna rafiki yangu mmoja ni raia wa England anaitwa Stephen Woroniecki yeye alikuja Tz akaniletea zawadi ya sandals, basi nimezitumia mwaka wa pili huu mpaka juzi kati nikamuachia swahiba wangu na still bado zinadai yani kama mpya, ile hata kukatika tu hazina dalili...
Sio ivyo tu nimeshanunua vingi tu na naviona vinadumu sana.
So nahisi hayo ni masuala ya quality
 
Vya zamani dhahabu
Me nakumbuka mbunye za zamani zilikua tamu baraa maana unakutana na kitu natural kbs mbunye iko imara ina mazoezi ya kutosha
Sio saiv demu mpaka aweke madikodiko mbunye unakuta ni testless unafanya imradi upunguze uzito tu kwa sababu haina mazoezi

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Samahani kaposti mwanangu mi nko pembeni nagonga chibuku tu.

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
hapa tumtafute muhenga aliyesema "kipya akinyemi" na yule muhenga aliyesema ya kale ni dhahabu.. naamini watakuwa na majibu mazuri juu ya hii mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…