Mia ya noti
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 866
- 1,234
Kuna jizi lipo pale ndio limeleta yote haya.Ile shilingi mia ya kila 1/4 lita ya maji, mmeisahau?
Sasa ni wakati wa kuhamia burundi
Iwe ya ndani au nje zote mia mbili inazihusu kwa Kila kilo.Ndan ya nchi tunae cement ya kutosha a viwanda Ving Sana hatuna sabab ya kuaguza kutoka nje
Aisee kweli tutahama bila kufukuzwa.Ile shilingi mia ya kila 1/4 lita ya maji, mmeisahau?
Sasa ni wakati wa kuhamia burundi
Viwanda vipo Dar&Mtwara huko.Ndan ya nchi tunae cement ya kutosha a viwanda Ving Sana hatuna sabab ya kuaguza kutoka nje
Sh 20 Kwa kilo sawa na 1,000 Kwa Mfuko mmja wa kilo 50Wakuu habari.
Nimesikia vibaya au vipi kwamba kwenye bajeti iliyopitishwa bungeni hivi leo kwa kishindo Kila kilo ya sementi itatozwa ushuru shillingi mia mbili.
Sasa kilo hamsini itauzwa shilling ngapi kama ushuru tu itakuwa elfu kumi?
Duh kule bado mafuta Lita ushuru mia.
Tunatoboaje?
Basi nilisikia vibaya.Sh 20 Kwa kilo sawa na 1,000 Kwa Mfuko mmja wa kilo 50
Unaturusha roho mkuuBasi nilisikia vibaya.
Ngoja nifiatilie zaidi.
Muwe mnasikiliza kwa umakini,ni sh 20 per kilo ambayo ni sawa na 1000 per bagIwe ya ndani au nje zote mia mbili inazihusu kwa Kila kilo.
Anakatwa last consumerSh 20 Kwa kilo sawa na 1,000 Kwa Mfuko mmja wa kilo 50