sikafunje.N
Member
- Jul 10, 2012
- 86
- 15
cjakusoma....ngoja waje...:A S 103:
Hili ni la kufikirika tu, sizani kama huna mpenzi tena unampenda ipasavyo alafu umtoe kwa best wako nae afaidi, hii ni ngumu mkuu.
Hilo nalo neno! sasa unamtuwako unampenda nae anadai anakupenda then anakusogezea best yake!
ujerumaniNdio culture ya nchi gani hiyo tena?
jamani hili limekaa ki fb zaid miye bbc siliwez