The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Umuofya kwenu wakuu,
Naomba kujuzwa jee ni kweli kua ukiagiza bidhaa kwa kikuu haulipishwi kodi. Nimeagiza mara kadhaa bidhaa kwa Aliexpress na kila maia nimekua napewa makadirio na kulipia kodi. Product nazoagiza hua ni derma roller na ointment oils.