Ni kweli kua ukinunua bidhaa za kikuu haulipishwi kodi ?

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
2,113
Reaction score
6,251
Umuofya kwenu wakuu,
Naomba kujuzwa jee ni kweli kua ukiagiza bidhaa kwa kikuu haulipishwi kodi. Nimeagiza mara kadhaa bidhaa kwa Aliexpress na kila maia nimekua napewa makadirio na kulipia kodi. Product nazoagiza hua ni derma roller na ointment oils.
 
Ni kweli.
 
Derma roller unazoagiza bei zake zikoje na je matokeo unayaona
 
Vipi derma roller Zimekusaidia ?
 
Sema kikuu wanawatumia speedaf moja Kwa moja nimeona namba nilizokua nawasiliana na kikuu ndi hizo hizo Sasa ni speedaf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…