Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
upo uwezekano wa kupunguza mizunguko ya pull. Pull ndogo ina maana ya kasi zaidi na pull kubwa ina maana ya kasi ndogo ya wastani. Ila set up ya hizo pull ndo ya kuzingatiaMota ya mashine ya alizeti inasumbua sasa nataka kuibadilisha nichukue ya mashine ambayo motor yake ina speed na mashine ya alizeti haiitaji speed.Nimeambiwa ninaweza kuitumia hiyo mota ya hiyo mashine ngingine ila nibadilisha pull itakuwa na speed ya kawaida.Swali ni je ni kweli kubadilisha ukubwa wa pull au udogo wa pull kunaathiri spidi ya mota
What?Diameter maters
jawabu ni ndiyo, pulley inaweza punguza au zidisha speed kulingana na diameters zakeSwali ni je ni kweli kubadilisha ukubwa wa pull au udogo wa pull kunaathiri spidi ya mota
Nataka iwe n around 1440 rpm kutoka 2000 na kitu rpmUnataka iwe na speed gani nikushauri pulley za kufunga
Kwahiyo hiyo starter inaweza kupunguza walau kutoka mizunguko 2000 na kitu kwa dakika mpaka around mizunguko 1 440 kw dakikajawabu ni ndiyo, pulley inaweza punguza au zidisha speed kulingana na diameters zake
pulley haziko fanisi zinapoteza nishati na torque
lakini kama ni kupunguza speed ya motor, kwanini usitumie zile motor controller zakuitwa Variable Frequency Drive - VFD ? inakua na knob ambayo unaweza kuizungusha ku adjust speed/RPM ya motor , na zinakua na soft starter humo humo ndani, huhitaji external hard starter
yes na ndiyo kazi yake hiyo, na ni standalone starter huhitaji external hard starter wala niniKwahiyo hiyo starter inaweza kupunguza walau kutoka mizunguko 2000 na kitu kwa dakika mpaka around mizunguko 1 440 kw dakika
Kwanini life span ya motor itakuwa ndogoKosa kubwa la kwanza umefanya ni kununua Motor high speed hivyo hata ukitafuta recommended speed ya hiyo machine bado life span ya motor itakuwa ndogo hivyo unapaswa ununue motor low speed ambazo rpm yake ni around 1400-1700 kama sijakosea
Driving pulley 3 inchesNataka iwe n around 1440 rpm kutoka 2000 na kitu rpm
Inaweza chukulia baiskeli ya gia jembe la mbele na nyuma gia ngumu (speed Kali) nyumba itakuwa jembe ndogo mbele jembe kubwa gia laini ( nyuma jembe ndogo na mbele jembe
Mkuu hili swala nmekumbana nalo ofcn kwangu! Kwa kawaida mashine ya kusaga pulley ya mota huwa ni kubwa ya mashine ni ndogo lakn kuptia high speed motor yang 2910 ukifata hiyo inakimbia Sana imebd mota iwe na pulley ndogo inch 3 Kisha mashine iwe na inch 6 naona km nmekosea ila imetulia! Maon yako vp hapoDriving pulley 3 inches
Driving speed 2100 rpm
Driven pulley = x ?
From
Velocity ratio= driving speed/driven speed= driven pulley diameter/ driving pulley diameter
2100/1440=x/3
Make x the subject
1.46=x/3
× = 4.4 inches
Therefore tumia pulley inch 4.5 upande wa machine na upande wa motor tumia inch 3