ham d ibrahim
Member
- Oct 1, 2016
- 29
- 4
Usimsikilize scorpio meEm kajaribu uje kutupa mrejesho
inategemea hizo ola umezitoa kwa site gani, ilizihitaji za nini na mna makubaliano gani maana kujaribu kila kitu si kila wakati ni ujasiri ila fuatilia vizuri maana zipo namna za ku MAKE MONEY ONLINE japo si rahisi.............Usimsikilize scorpio me
Inategemea na website gan but kama ni Google au eBay unalipwajamani siku hizi kumeibuka website nyingi zikisema MAKE MONEY ONLINE kuna ukweli wowote kuhusu iki kitu maana wanasema wanalipa kwa dola ukisoma matangazo habar n.k kuna mtu yoyote ambaye ameshafanikiwa na hizi habar.?