Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
- Thread starter
-
- #21
Maana inahitaji akili kubwa kudhibiti akili kubwa, sasa bado najiuliza kwa vipimo vya akili mfalme wetu sio genius huyu?Hakuna mfalme mwenye akili kubwa kama huyo kuwahi kutokea kwenye ile falme. Anacontrol kila kitu,mpaka akili za watu wake wote.
Huyo mfalme ni genius mkuu.Maana inahitaji akili kubwa kudhibiti akili kubwa, sasa bado najiuliza kwa vipimo vya akili mfalme wetu sio genius huyu?
Kipi ni kipimo cha akili?
Inawezekana kabisa kiongozi wanguHuyo mfalme ni genius mkuu.
Vyote viwili Rebeca 83 , inawezekana kipimo cha uwezo wa akili kinapimwa kama wale wanaotaka kujua IQ ya mtu, lakini kama dishi limeyumba ndio kimbembe hapo, hua wanapimaje? Na wengine dishi likiyumba sio lazima aokote makopo au akojoe hadharani ila mambo anayofanya mengine yanakua sio ya kawaidaMkuu kwani unataka kupima uwezo wa akili ama kama dishi limeyumba???ππππ maana hivi ni vitu viwili tofauti