Ni kweli kuna uhaba wa Madaktari Hospitali ya Mwananyama?

Ni kweli kuna uhaba wa Madaktari Hospitali ya Mwananyama?

Changer 22

Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
11
Reaction score
5
Leo nimetembelea hospital ya Mwananyama na kukuta foleni kubwa ya wagonjwa wakusubiri Madaktari.

Kadhaa hii imekuwa ikitokea mara Kwa mara katika hospital hii. Swali ni kuwa ni kwel Kuna uhaba wa madaktari?

Bado kuna upendeleo katika utoaji wa huduma katika hospital hii?
 
Uhaba uko tele, ni hiyo serikali wao wanatibiwa ulaya, haya ya walalahoi washenzi hayawahusu
 
Back
Top Bottom